SHANTA KUANZA UZALISHAJI WA DHAHABU 2023.

MGODI wa Kati wa uchimbaji wa madini ya Dhahabu wa Shanta wa Singida unatarajiwa kuanza rasmi uzalishaji mwanzoni mwa mwaka 2023 mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya mgodi huo.Meneja Mkuu wa mradi huo, Mhandisi Jiten Divecha ameyasema hayo Mei 13, 2022 kwa Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa wakati alipotembelea na